Lk. 6:32 SUV

32 Maana mkiwapenda wale wawapendao ninyi, mwaonyesha fadhili gani? Kwa kuwa hata wenye dhambi huwapenda wale wawapendao.

Kusoma sura kamili Lk. 6

Mtazamo Lk. 6:32 katika mazingira