Lk. 6:7 SUV

7 Na waandishi na Mafarisayo walikuwa wakimvizia, ili waone kwamba ataponya siku ya sabato; kusudi wapate neno la kumshitakia.

Kusoma sura kamili Lk. 6

Mtazamo Lk. 6:7 katika mazingira