Lk. 6:9 SUV

9 Ndipo Yesu akawaambia, Nawauliza ninyi, Je! Ni halali siku ya sabato kutenda mema, au kutenda mabaya; kuponya roho au kuangamiza?

Kusoma sura kamili Lk. 6

Mtazamo Lk. 6:9 katika mazingira