Lk. 7:24 SUV

24 Basi, wajumbe wa Yohana walipokwisha ondoka, alianza kuwaambia makutano habari za Yohana, Mlitoka kwenda nyikani kutazama nini? Unyasi ukitikiswa na upepo?

Kusoma sura kamili Lk. 7

Mtazamo Lk. 7:24 katika mazingira