Lk. 8:10 SUV

10 Akasema, Ninyi mmepewa kuzijua siri za ufalme wa Mungu; bali wengine kwa mifano, ili wakiona wasione, na wakisikia wasielewe.

Kusoma sura kamili Lk. 8

Mtazamo Lk. 8:10 katika mazingira