Lk. 8:35 SUV

35 Watu wakatoka kwenda kuliona lililotokea, wakamwendea Yesu, wakamwona mtu yule aliyetokwa na pepo ameketi miguuni pa Yesu, amevaa nguo, ana akili zake; wakaogopa.

Kusoma sura kamili Lk. 8

Mtazamo Lk. 8:35 katika mazingira