Lk. 8:8 SUV

8 Nyingine zikaanguka penye udongo mzuri; zikamea, zikazaa moja kwa mia. Alipokuwa akinena hayo alipaza sauti akisema, Mwenye masikio ya kusikilia, na asikie.

Kusoma sura kamili Lk. 8

Mtazamo Lk. 8:8 katika mazingira