Lk. 9:32 SUV

32 Petro na wale waliokuwa pamoja naye walikuwa wamelemewa na usingizi; lakini walipokwisha amka waliuona utukufu wake, na wale wawili waliosimama pamoja naye.

Kusoma sura kamili Lk. 9

Mtazamo Lk. 9:32 katika mazingira