Lk. 9:36 SUV

36 Na sauti hiyo ilipokwisha, Yesu alionekana yu peke yake. Nao wakanyamaza, wasitangaze kwa mtu siku zile lo lote katika hayo waliyoyaona.

Kusoma sura kamili Lk. 9

Mtazamo Lk. 9:36 katika mazingira