Lk. 9:39 SUV

39 Na tazama, pepo humpagaa, naye mara hupiga kelele; tena humtia kifafa, huku anatokwa na povu, wala hamwachi ila kwa shida, akimchubua-chubua.

Kusoma sura kamili Lk. 9

Mtazamo Lk. 9:39 katika mazingira