42 Alipokuwa katika kumwendea, pepo akambwaga chini, akamtia kifafa. Yesu akamkemea pepo mchafu, akamponya mtoto, akamrudishia babaye.
Kusoma sura kamili Lk. 9
Mtazamo Lk. 9:42 katika mazingira