Lk. 9:48 SUV

48 akawaambia, Ye yote atakayempokea mtoto huyu kwa jina langu anipokea mimi; na ye yote atakayenipokea mimi ampokea yeye aliyenituma. Kwa kuwa aliye mdogo miongoni mwenu nyote huyo ndiye mkubwa.

Kusoma sura kamili Lk. 9

Mtazamo Lk. 9:48 katika mazingira