Lk. 9:58 SUV

58 Yesu akamwambia, Mbweha wana pango, na ndege wa angani wana viota, lakini Mwana wa Adamu hana pa kujilaza kichwa chake.

Kusoma sura kamili Lk. 9

Mtazamo Lk. 9:58 katika mazingira