Mdo 1:3 SUV

3 wale aliowadhihirishia nafsi yake, kwa dalili nyingi, baada ya kuteswa kwake, ya kwamba yu hai, akiwatokea muda wa siku arobaini, na kuyanena mambo yaliyouhusu ufalme wa Mungu.

Kusoma sura kamili Mdo 1

Mtazamo Mdo 1:3 katika mazingira