Mdo 11:19 SUV

19 Basi wale waliotawanyika kwa sababu ya ile dhiki iliyotukia kwa habari ya Stefano, wakasafiri hata Foinike na Kipro na Antiokia, wasilihubiri lile neno ila kwa Wayahudi peke yao.

Kusoma sura kamili Mdo 11

Mtazamo Mdo 11:19 katika mazingira