Mdo 11:26 SUV

26 hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.

Kusoma sura kamili Mdo 11

Mtazamo Mdo 11:26 katika mazingira