Mdo 11:28 SUV

28 Na tulipokusanyika akasimama mmoja wao, jina lake Agabo, akaonyesha kwa uweza wa Roho Mtakatifu kwamba njaa kubwa itakuja karibu katika dunia nzima, nayo ikatukia katika siku za Klaudio.

Kusoma sura kamili Mdo 11

Mtazamo Mdo 11:28 katika mazingira