Mdo 12:4 SUV

4 Alipokwisha kumkamata, akamweka gerezani akamtia mikononi mwa vikosi vinne vya askari wanne wanne, wamlinde, akitaka baada ya Pasaka kumtoa na kumweka mbele ya watu.

Kusoma sura kamili Mdo 12

Mtazamo Mdo 12:4 katika mazingira