Mdo 13:22 SUV

22 Na alipokwisha kumwondoa huyo, akamwinua Daudi awe mfalme wao ambaye alimshuhudia, akisema, Nimemwona Daudi, mwana wa Yese, mtu anayeupendeza moyo wangu, atakayefanya mapenzi yangu yote.

Kusoma sura kamili Mdo 13

Mtazamo Mdo 13:22 katika mazingira