Mdo 13:25 SUV

25 Naye Yohana alipokuwa akimaliza mwendo wake alinena, Mwanidhani mimi kuwa nani? Mimi siye. Lakini, angalieni, anakuja mmoja nyuma yangu ambaye mimi sistahili kumlegezea viatu vya miguu yake.

Kusoma sura kamili Mdo 13

Mtazamo Mdo 13:25 katika mazingira