Mdo 13:36 SUV

36 Kwa maana Daudi, akiisha kulitumikia shauri la Mungu katika kizazi chake, alilala, akawekwa pamoja na baba zake, akaona uharibifu.

Kusoma sura kamili Mdo 13

Mtazamo Mdo 13:36 katika mazingira