Mdo 13:43 SUV

43 Sinagogi ilipofumukana, Wayahudi na waongofu watauwa wengi wakashikamana na Paulo na Barnaba; ambao, wakisema nao, wakawatia moyo kudumu katika neema ya Mungu.

Kusoma sura kamili Mdo 13

Mtazamo Mdo 13:43 katika mazingira