Mdo 13:5 SUV

5 Na walipokuwa katika Salami wakalihubiri neno la Mungu katika masinagogi ya Wayahudi, nao walikuwa naye Yohana kuwa mtumishi wao.

Kusoma sura kamili Mdo 13

Mtazamo Mdo 13:5 katika mazingira