Mdo 14:1 SUV

1 Ikawa huko Ikonio wakaingia pamoja katika sinagogi la Wayahudi; na kwa vile walivyonena, kundi kubwa la Wayahudi na la Wayunani wakaamini.

Kusoma sura kamili Mdo 14

Mtazamo Mdo 14:1 katika mazingira