Mdo 14:19 SUV

19 Lakini Wayahudi wakafika toka Antiokia na Ikonio, wakawashawishi makutano hata wakampiga kwa mawe Paulo, wakamburuta nje ya mji, wakidhania ya kuwa amekwisha kufa.

Kusoma sura kamili Mdo 14

Mtazamo Mdo 14:19 katika mazingira