Mdo 15:2 SUV

2 Basi baada ya Paulo na Barnaba kushindana na watu hawa na kuhojiana nao sana, ndugu wakaamuru kwamba Paulo na Barnaba na wengine miongoni mwao wapande kwenda Yerusalemu kwa mitume na wazee kwa habari ya swali hilo.

Kusoma sura kamili Mdo 15

Mtazamo Mdo 15:2 katika mazingira