Mdo 15:4 SUV

4 Walipofika Yerusalemu wakakaribishwa na kanisa na mitume na wazee, nao wakawaeleza mambo yote Mungu aliyoyafanya pamoja nao.

Kusoma sura kamili Mdo 15

Mtazamo Mdo 15:4 katika mazingira