Mdo 16:1 SUV

1 Basi akafika Derbe na Listra, na hapo palikuwa na mwanafunzi mmoja jina lake Timotheo, mwana wa mwanamke Myahudi aliyeamini; lakini babaye alikuwa Myunani.

Kusoma sura kamili Mdo 16

Mtazamo Mdo 16:1 katika mazingira