Mdo 16:10 SUV

10 Basi alipokwisha kuyaona yale maono, mara tukataka kutoka kwenda Makedonia, kwa kuwa tuliona hakika ya kwamba Mungu ametuita tuwahubiri Habari Njema.

Kusoma sura kamili Mdo 16

Mtazamo Mdo 16:10 katika mazingira