Mdo 16:19 SUV

19 Basi bwana zake walipoona ya kuwa tumaini la faida yao limewapotea, wakawakamata Paulo na Sila, wakawakokota mpaka sokoni mbele ya wakuu wa mji;

Kusoma sura kamili Mdo 16

Mtazamo Mdo 16:19 katika mazingira