Mdo 16:3 SUV

3 Paulo akamtaka huyo afuatane naye, akamtwaa akamtahiri kwa ajili ya Wayahudi waliokuwako pande zile; kwa maana wote walijua ya kuwa babaye ni Myunani.

Kusoma sura kamili Mdo 16

Mtazamo Mdo 16:3 katika mazingira