Mdo 16:38 SUV

38 Wakubwa wa askari wakawapasha makadhi habari za maneno haya; nao wakaogopa, waliposikia ya kwamba hao ni Warumi.

Kusoma sura kamili Mdo 16

Mtazamo Mdo 16:38 katika mazingira