Mdo 17:13 SUV

13 Lakini Wayahudi wa Thesalonike walipopata habari ya kwamba neno la Mungu linahubiriwa na Paulo hata katika Beroya, wakaenda huko nako wakawachafua na kuwafadhaisha makutano.

Kusoma sura kamili Mdo 17

Mtazamo Mdo 17:13 katika mazingira