Mdo 17:15 SUV

15 Lakini wale waliomsindikiza Paulo wakampeleka mpaka Athene; nao wakiisha kupokea maagizo kuwapelekea Sila na Timotheo, ya kwamba wasikawie kumfuata, wakaenda zao.

Kusoma sura kamili Mdo 17

Mtazamo Mdo 17:15 katika mazingira