Mdo 17:22 SUV

22 Paulo akasimama katikati ya Areopago, akasema, Enyi watu wa Athene, katika mambo yote naona ya kuwa ninyi ni watu wa kutafakari sana mambo ya dini.

Kusoma sura kamili Mdo 17

Mtazamo Mdo 17:22 katika mazingira