34 Baadhi ya watu wakashikamana naye, wakaamini; katika hao alikuwamo Dionisio, Mwareopago, na mwanamke mmoja jina lake Damari, na watu wengine pamoja na hao.
Kusoma sura kamili Mdo 17
Mtazamo Mdo 17:34 katika mazingira