4 Wengine miongoni mwao wakaamini, wakashikamana na Paulo na Sila; na Wayunani waliomcha Mungu, wengi sana, na wanawake wenye cheo si wachache.
Kusoma sura kamili Mdo 17
Mtazamo Mdo 17:4 katika mazingira