Mdo 18:10 SUV

10 kwa kuwa mimi ni pamoja nawe, wala hapana mtu atakayekushambulia ili kukudhuru; kwa maana mimi nina watu wengi katika mji huu.

Kusoma sura kamili Mdo 18

Mtazamo Mdo 18:10 katika mazingira