Mdo 18:2 SUV

2 Akamwona Myahudi mmoja, jina lake Akila, mzalia wa Ponto; naye amekuja kutoka nchi ya Italia siku za karibu, pamoja na Prisila mkewe, kwa sababu Klaudio amewaamuru Wayahudi wote watoke Rumi, naye akafikilia kwao;

Kusoma sura kamili Mdo 18

Mtazamo Mdo 18:2 katika mazingira