Mdo 19:1 SUV

1 Ikawa, Apolo alipokuwa Korintho, Paulo, akiisha kupita kati ya nchi za juu, akafika Efeso; akakutana na wanafunzi kadha wa kadha huko;

Kusoma sura kamili Mdo 19

Mtazamo Mdo 19:1 katika mazingira