25 Akawakusanya hao, pamoja na wengine wenye kazi ile ile, akasema, Enyi wanaume, mnajua ya kuwa utajiri wetu hutoka katika kazi hii.
Kusoma sura kamili Mdo 19
Mtazamo Mdo 19:25 katika mazingira