Mdo 19:27 SUV

27 Si kwamba kazi hii yetu ina hatari ya kudharauliwa tu; bali na hekalu la mungu mke aliye mkuu, Artemi, kuhesabiwa si kitu, na kuondolewa utukufu wake, ambaye Asia yote pia na walimwengu wote humwabudu.

Kusoma sura kamili Mdo 19

Mtazamo Mdo 19:27 katika mazingira