Mdo 19:4 SUV

4 Paulo akasema, Yohana alibatiza kwa ubatizo wa toba, akiwaambia watu wamwamini yeye atakayekuja nyuma yake, yaani, Yesu.

Kusoma sura kamili Mdo 19

Mtazamo Mdo 19:4 katika mazingira