25 Maana Daudi ataja habari zake,Nalimwona Bwana mbele yangu siku zote,Kwa kuwa yuko upande wa mkono wangu wa kuume, nisitikisike.
Kusoma sura kamili Mdo 2
Mtazamo Mdo 2:25 katika mazingira