Mdo 2:30 SUV

30 Basi kwa kuwa ni nabii, akijua ya kuwa Mungu amemwapia kwa kiapo, ya kwamba katika uzao wa viuno vyake atamketisha mmoja katika kiti chake cha enzi;

Kusoma sura kamili Mdo 2

Mtazamo Mdo 2:30 katika mazingira