Mdo 2:33 SUV

33 Basi yeye, akiisha kupandishwa hata mkono wa kuume wa Mungu, na kupokea kwa Baba ile ahadi ya Roho Mtakatifu, amekimwaga kitu hiki mnachokiona sasa na kukisikia.

Kusoma sura kamili Mdo 2

Mtazamo Mdo 2:33 katika mazingira