Mdo 20:24 SUV

24 Lakini siyahesabu maisha yangu kuwa kitu cha thamani kwangu kama kuumaliza mwendo wangu na huduma ile niliyopokea kwa Bwana Yesu, kuishuhudia Habari Njema ya neema ya Mungu.

Kusoma sura kamili Mdo 20

Mtazamo Mdo 20:24 katika mazingira