32 Basi, sasa nawaweka katika mikono ya Mungu, na kwa neno la neema yake, ambalo laweza kuwajenga na kuwapa urithi pamoja nao wote waliotakaswa.
Kusoma sura kamili Mdo 20
Mtazamo Mdo 20:32 katika mazingira