Mdo 20:9 SUV

9 Kijana mmoja, jina lake Eutiko, alikuwa ameketi dirishani, akalemewa na usingizi sana; hata Paulo alipoendelea sana kuhubiri, akazidiwa na usingizi wake akaanguka toka orofa ya tatu; akainuliwa amekwisha kufa.

Kusoma sura kamili Mdo 20

Mtazamo Mdo 20:9 katika mazingira