Mdo 21:21 SUV

21 Nao wameambiwa habari zako, ya kwamba unawafundisha Wayahudi wote wakaao katika Mataifa kumwacha Musa, ukiwaambia wasiwatahiri watoto wao, wala wasizifuate desturi.

Kusoma sura kamili Mdo 21

Mtazamo Mdo 21:21 katika mazingira